Niwemugizi JF-Expert Member Joined Oct 15, 2012 Posts 902 Reaction score 462 Jul 14, 2013 #2 Kama ni ya moto ni kifungua kinywa kizuri sana
BHULULU JF-Expert Member Joined Jun 28, 2012 Posts 4,994 Reaction score 2,045 Jul 14, 2013 #3 Hiyo kitu nimekumbuka mbali sana!
sakapal JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 1,804 Reaction score 1,425 Jul 14, 2013 #4 breakfast!!!!! that way???? mbado bora nipige dash kuliko, mie napenda mida ya lunch hindi la kuchoma lisiungue sana liwe laini teketeke na lipakwe pilipili na ndimu aaah rahaaa unashushia na maji ya kunywa, ila as break fast mbado sana.
breakfast!!!!! that way???? mbado bora nipige dash kuliko, mie napenda mida ya lunch hindi la kuchoma lisiungue sana liwe laini teketeke na lipakwe pilipili na ndimu aaah rahaaa unashushia na maji ya kunywa, ila as break fast mbado sana.
MadameX JF-Expert Member Joined Dec 27, 2009 Posts 7,792 Reaction score 3,860 Jul 15, 2013 #5 Mmmh haipiti bana