kitu bed room

Mmmh... Kilivyo kizuri hata usingizi sitapata kabisaaa..!
 
Nkilala hapo haya ufisadi wa hii nchi ntausahau...
 
nitakuwa nachelewa kazini kila siku.
 
Ukitaka kufeel utamu wa kitanda hiki, uwe na demu mkaliii aliyekusumbua kwa muda mreeefu. leo sasa ndio kasema yes
 
Hivi Hawa mafundi wetu wa uswazi wataweza kunitengezea kama hicho?!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…