Nimecheeeeeeeeeeeeeeeeeeka sana..hata mimi huwa 'nakwazika' na baadhi yetu tunavyokosea kuandika maneno ambayo kwa hakika ni ya kawaida kabisa....yaani baadhi humu wanaudhi sana kuhusu uandishi wa Kiswahili chetu, inawezekana pengine ni Wakenya au Wakongo au hata Waganda, lakini inaelekea wanaokosea zaidi ni Watanzania...