I ikigijo JF-Expert Member Joined Aug 23, 2017 Posts 1,866 Reaction score 1,950 May 14, 2021 #1 Wakuu wa afya habari? Niende kwenye Mada moja kwa moja... Inasemekana kitovu cha mtoto wa kiume kikidondokea Kwenye Uume kwa mtoto wa Kiume kuwa Atakuwa Hazai,Hawezi zalisha Au kuwa Hanithi? Msaada Tafadhali?
Wakuu wa afya habari? Niende kwenye Mada moja kwa moja... Inasemekana kitovu cha mtoto wa kiume kikidondokea Kwenye Uume kwa mtoto wa Kiume kuwa Atakuwa Hazai,Hawezi zalisha Au kuwa Hanithi? Msaada Tafadhali?
Extrovert JF-Expert Member Joined Feb 29, 2016 Posts 72,433 Reaction score 191,755 May 14, 2021 #2 Jiandae kumlea Delicious
I ikigijo JF-Expert Member Joined Aug 23, 2017 Posts 1,866 Reaction score 1,950 May 14, 2021 Thread starter #3 Extrovert said: Jiandae kumlea Delicious Click to expand... Mkuu ngoja Madaktari waje Mkuu Usisema hivyo Kaka... Sababu Kilishakuwa Kimekauka... Kilikuwa kinasubiria Muda tuu kudondoka
Extrovert said: Jiandae kumlea Delicious Click to expand... Mkuu ngoja Madaktari waje Mkuu Usisema hivyo Kaka... Sababu Kilishakuwa Kimekauka... Kilikuwa kinasubiria Muda tuu kudondoka
Joanah JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 26,719 Reaction score 98,900 May 14, 2021 #4 ikigijo said: Mkuu ngoja Madaktari waje Mkuu Usisema hivyo Kaka... Sababu Kilishakuwa Kimekauka... Kilikuwa kinasubiria Muda tuu kudondoka Click to expand... Aliwazalo mjinga ndilo linalomtokea Achana na imani za ajabu,mtoto wako hatokuwa kama yanayosikika kuwa
ikigijo said: Mkuu ngoja Madaktari waje Mkuu Usisema hivyo Kaka... Sababu Kilishakuwa Kimekauka... Kilikuwa kinasubiria Muda tuu kudondoka Click to expand... Aliwazalo mjinga ndilo linalomtokea Achana na imani za ajabu,mtoto wako hatokuwa kama yanayosikika kuwa
I ikigijo JF-Expert Member Joined Aug 23, 2017 Posts 1,866 Reaction score 1,950 May 14, 2021 Thread starter #5 Joanah said: Aliwazalo mjinga ndilo linalomtokea Achana na imani za ajabu,mtoto wako hatokuwa kama yanayosikika kuwa Click to expand... Niseme tuu Ukweli Nimekupenda Joanah [emoji115][emoji109][emoji1666][emoji123]
Joanah said: Aliwazalo mjinga ndilo linalomtokea Achana na imani za ajabu,mtoto wako hatokuwa kama yanayosikika kuwa Click to expand... Niseme tuu Ukweli Nimekupenda Joanah [emoji115][emoji109][emoji1666][emoji123]