Kitimu timu

Hapo sijuwi utajificha wapi hapo?
 
Hizo plate number kama za TZ vile
 
Nimejaribu kukuza picha kwa karibu lakini nimeshindwa kusoma hiyo plate #.
 
natamani kinana angekuwepo humo ndani na majangili wenzie
 
hiyo chain inaonyesha kama mchezo wa kutengeneza hivi!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…