Kitilla Mkumbo, Waziri wa Uchaguzi

Unawezaje kuwa na Dira ya Taifa ya miaka 50 halafu huna "National Bureau of Research" inayowezesha tafiti na kukusanya tafiti zote!!???

Kitila wengine tunamfahamu vyema maana tumemkaribisha UDSM na kumpa ushirikiano mkubwa kwenye taaluma,hivyo uwezo wake tunaujua.

Halafu hili la "huwezi jua 2030 atakuwa nani...", kwani mleta uzi amekwambua naye ni mnyenyekeaji wa watu wenye nafasi!!??
 

Mgombea Binafisi. Usisababishe Wamkolimbe Kijana wa watu bila sababu.
 
MAYALA MANJAAA SHEEEDAAAH
 
Huyu jamaa yeye utamsikia unapokaribia uchaguzi tu, atapiga porojo zake ili ateuliwe

Ni miongoni mwa mawaziri duni kuliko uduni wenyewe, hana lolote zaidi ya uchawa

Nakulilia Tanganyika
Chuki binafsi,huyu ndio Waziri amebadilisha sekta ya biashara na uwekezaji hususani kutoka mtizamo hasi Hadi chanya.

Atakuwepo Hadi 2030, mengine ni shida zako binafsi sio za maboksi wake.

Kama vipi Toka huko kwenye chama Cha vibaraka wa Mabeberu kama una sifa kumzidi utateuliwa,maridhiano yanaendelea.
 
Ubungo kuna maendeleo gani yaliyohamasishwa na mbunge?
utayaonaje na ulibebwa ufala wa kifikra na ukafuata mkumbo wa kususia uchaguzi kwa mihemko useless kabisa gentleman?

na hapo umebaki na chuki ambayo inakufaya usio kitu kilichofanyika wala usione kizuri chochote ubugo. Na hayo ndio madhara ya wazi kabisa ya kisaikolojia yanayotokana na kususia vitu kwa mihemko useless 🐒
 
Huyu jamaa yeye utamsikia unapokaribia uchaguzi tu, atapiga porojo zake ili ateuliwe

Ni miongoni mwa mawaziri duni kuliko uduni wenyewe, hana lolote zaidi ya uchawa

Nakulilia Tanganyika
 

Attachments

  • IMG-20250122-WA0047.jpg
    32.8 KB · Views: 7
Umemmaliza
 

Sasa uchaguzi wa 2025 una uhusiano gani na ubunge wa Kitila?

Jimbo la Ubungo/Kibamba mara kumi wangesifiwa mkuu wa wilaya ya Ubungo kuna vitu unaona anapambana vinatokea...
 
Sasa uchaguzi wa 2025 una uhusiano gani na ubunge wa Kitila?

Jimbo la Ubungo/Kibamba mara kumi wangesifiwa mkuu wa wilaya ya Ubungo kuna vitu unaona anapambana vinatokea...
ndie mbunge wa ubungo tangu Oct 2025, uchukie, upende usipende gentleman. Na huyo ndio mwenyekiti wa kamati ya maendeleo ya jimbo kwa mujibu wa sheria.

Hakuna maendeleo ya jimbo bila mbunge. Ni vizuri kufahamu hilo gentleman. Na sio kwamba naeleza ukweli huo kibinafsi, hiyo ni kwa mujibu wa sheria 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…