Kitila Mkumbo na Hapa Kazi tu!

Kitila Mkumbo na Hapa Kazi tu!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,583
Reaction score
27,838
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji Kitila Mkumbo (PhD) akifanya ziara kwenye mtambo wetu wa Maji Ruvu Juu!


11.JPG



5.JPG



7.JPG


10.JPG


HAPA KAZI TU!
 
Chadema hakuna mwenye qualification hata mmoja.
 
Piga kazi propesa... profeza, ah, profesa Kitila Mkumbo! Hili sio fumbo ila kwenye haya mambo usifuate mkumbo, Mkumbo, fanya yako kabla hayajakukumba ukayumba!
 
Huyu ni profesa wa hovyo hovyo.. Mtu gani asiyeweza kusimamia kauli zake mwenyewe alizozitoa mchana kweupee?
 
Dah! Jamaa kashasajiliwa, but mkuu alimshangaa shein kuteua wapinzani ktk serikali yake, mbona nae kubadili gia angani
 
11.JPG


Kwa nini maji haya yasiwepo kwenye hiyo picha ya chini? Halafu je, sio kuwa haya maji kwenye bilauli anayokunywa sio yametoka kwenye chupa za hayo kwenye chupa ya chini?

5.JPG


Huyu ni waziri au katibu mkuu? Lini atamaliza nchi nzima kama ndio kaanza na Dawasco?
 
Back
Top Bottom