Kitila mkumbo live ndani ya ITV (malumbano ya hoja)

Kitila mkumbo live ndani ya ITV (malumbano ya hoja)

DJ NYUKI

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2013
Posts
370
Reaction score
89
Maada ya Leo nini kifanyike kuboresha elimu Tanzania?
 
We ndo wapumbavu tusiowataka nchi hii maana umenyimwa mkwanja na mwigamba ndo ukaja hapa kumwomba msamaha kanda lema@ meru moja
 
huyo mamluki wa ccm hana jipya,amechuja mbayaaa

Amechuja kwako. Sisi wengine tunamfuatilia na tuikubali kazi yake. Jisemee moyo wako mwenyewe. Na hata kuja kutoa post hapa ina maana umafuatilia, kilichobaki ni uchungu wa kumpoteza kwenye CDM. Sijui nani atawaandikia ilani ya 2015!!
 
Amedhalilisha shahada ya uzamivu kama alivyofanya mukwerekwere.

BAVICHA hamjitambui. Mlimsimanga Kafulila na kumuita sisimizi, leo mnamuona hero na mnambebeleza aingie kwenye baraza lenu fake mnaloita kivuli. Wapuuzi mnaojazana ujinga kuanzia juu hadi chini. Mtaumbuka sana mwakani kama mlivyoumbuka Kalenga na ndio mtajua kwamba siasa nyie hamuijui, ni wapuuzi fulani tu hivi wanaosaka tonge!
 
Haloo hebu funga breki kidogo! Inamaana kila anayepingana na ccm ni bavicha? Umekaririshwa vibaya. Ila endelea na mtazamo ulionao maana akili yako ndo imewaza ikakomea hapo. Uwe na asubuhi njema.
 
Back
Top Bottom