GE2025 Kitila Mkumbo apita mtaa kwa mtaa kuomba kura

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Profesa Kitila Mkumbo, mgombea ubunge wa Ubungo kupitia CCM, ameendelea na kampeni zake Kata ya Mabibo akifuatana na mgombea udiwani Ashura Seng’ondo. Wananchi wametaja changamoto kubwa kuwa ni barabara ya Bint Kayenga, hususan kipindi cha mvua. Prof. Kitila ameeleza kuwa barabara hiyo ipo chini ya mradi wa DMDP na mkandarasi anatarajiwa kuanza ujenzi muda wowote baada ya kupata eneo la kuweka mitambo.

Vipi mbunge wako amepita mtaani kwako? na je, Wananchi wanapaswa kuwa na nafasi gani katika ufuatiliaji na uwajibikaji wa miradi ya maendeleo?​

 
Asisahau kupita kwa wale dada zetu wa riverside ,awape ahadi ,wakimchagua watatoa huduma bila kusumbuliwa na polisi
 
Kwani Dr Mkumbo hajapata habari kuwa CCM inakura za ushindi tayari?
 
Hiki kijamaa huwa kinajiona kigenous flani hivi hiki, kinaamini kina akili kupita kila msisiemu mwingine yoyote yani na kina maubunifu yaliyotukuka
 

Wajinga jinga tu matokeo usalama na tume wameshapanga😂😂😂🤦🏾‍♂️
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…