Kiti kinachopunguza upweke

sirluta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2012
Posts
6,324
Reaction score
2,494
KITI KINACHO PUNGUZA
UPWEKE
Kuna wakati kila mmoja
maishani pengine huhitaji
kupata
'hug' (kukumbatiwa) ili
kujisikia sio mpweke. Sasa
kampuni moja nchini Japan
imetengeneza kiti maalum
ambacho kitakuwa tayari
wakati wowote
kumkumbatia na
kumliwaza mtumiaji.
Kiti hicho cha "utulivu"
kimetengenezwa kikiwa
pamoja na 'mdoli' mkubwa
mwenye sura yenye
tabasamu pamoja na kofia,
lakini muhimu zaidi ana
mikono mirefu ambayo
inaweza kumkumbatia
mtumiaji.
"Inakufanya ujisikie salama.
Kila mtu anaweza kutumia,
lakini zaidi kimeundwa kwa
ajili ya wazee," amesema
msemaji wa UniCare,
kampuni inayouza kiti
hicho.
Karibu robo ya idadi ya
wananchi wa Japan kwa
sasa wana umri wa zaidi ya
miaka 65, idadi ambayo
inatarajiwa kuongezeka
kwa asilimia 40 katika
miongo kadhaa ijayo.
Kiti hicho kinauzwa kwa
yen 46,000 sawa na dola
419.
 
Kukumbatiwa tu ?........au na zaidi.......
 
wakitengeneze kiwe na papuchi ya bandia ili kuliwaza vidume vilivyona masongo wa mawazo.
 
Katika pitapita zangu nikakutana na duka la vifaa vya kupunguza mihemko,aiseeeee kulikuwa na kila umbo unalotaka,cheusi,cheupe kila aina,yakuset imekukamata kiuno wakati wa kubanjuka,nilitoka hapo suruali imevimba mbele
 
Katika pitapita zangu nikakutana na duka la vifaa vya kupunguza mihemko,aiseeeee kulikuwa na kila umbo unalotaka,cheusi,cheupe kila aina,yakuset imekukamata kiuno wakati wa kubanjuka,nilitoka hapo suruali imevimba mbele

Mkuu inaoneka ulikuwa na uraru kinyama aisee pole sana..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…