Kingine bibie SOLANGE baada ya kuachana na kurekodi kwa JIGGA ikabidi aondoke Brooklyn na kuhamia New Orleans, sasa kule hauzi(hapalipi), sasa hiyo imekuwa moja ya kitu kinachomtatiza kichwa, anakuwa mtu wa kisiriani na mihasira hasira isiyokuwa na msingi.
Sasa sijui tatizo ni hilo tu au mzee JIGGA nae anachepuka/aliwahi chepuka, huwezi jua binadamu sisi