Nancyjoa13
Senior Member
- May 18, 2018
- 167
- 97
Well said👍🏽👏🏽Ikiwa malalamiko yatapokewa,yatafuatiliwa na kupatiwa ufumbuzi kwa muda muafaka basi itakuwa ni jambo jema.
Kinyume chake,kama ni kama yule jamaa aliyeagiza mzigo Zambia kalipa kodi,na kudaiwa rushwa kubwa ya kufa mtu,mwishowe ufumbuzi unapatikana baada ya miaka mitatu,tena mpaka rais mwenyewe ndiye aamue..basi tuna wakati mgumu.
Tunadhani huenda mambo hayatakuwa yaleyale.View attachment 1126667
This is what was missing. Kule TRA ni syndicate tupu. Hata ukamuone nani, hakuna la maana utakalopata."Serikali imeanzisha kitengo kipya cha kupokea malalamiko ya kodi na kitaratibiwa na Wizara ya Fedha na Mipango,
kitahusisha kupokea malalamiko kutoka kwa walipa kodi yakiwamo ya kuombwa rushwa na Watumishi wa Mamlaka ya Kodi TRA."
-Philip Mpango
#BajetiKuuTZ2019
Kiufupi, Kitengo hicho ni cha kuidhibiti TRA. Kama kitakuwa na watu waadilifu, migogoro ya kodi itapungua Sana na mapato ya Serikali yataongezeka. Kikiwa ni cha watu wasio waadilifu, ni bomu lingine linaundwa kwa kuzingatia majukumu yao nyeti.
Naungana na wewe mimi naamini watawaweka watu waadilifu sana na wasio na makandokando ya rushwa tangu utoto wao.Kiufupi, Kitengo hicho ni cha kuidhibiti TRA. Kama kitakuwa na watu waadilifu, migogoro ya kodi itapungua Sana na mapato ya Serikali yataongezeka. Kikiwa ni cha watu wasio waadilifu, ni bomu lingine linaundwa kwa kuzingatia majukumu yao nyeti.