Kweli hizo ndo uzi zake za kijinga kijinga.Dada Genta katika id nyingine
Mm napenda tunapoweka ushabiki pembeni kama hivi!Ina maana Simba hamna uwanja wenu mnategemea fadhila toka kwa Azam kweli!!!!!!?
Aibu yenu,
na utopolo aibu yenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Jengeni viwanja vyenu, siyo kulilia mali za watu, Azam complex ni uwanja wa timu ya Azam,.Kitendo Ulichofanya Popat CEO wa Azam sio cha
Kizalendo kabisa unawezaje kulazimisha Timu yako ya Azam ifanye Mazoezi Asubuhi Chamazi Stadium siku ya leo ya mechi ya CAF mbona siku nyingine hujafanya hivi au kisa leo inacheza timu usioipenda
Moyoni mwako?
Uwanja upo Chini ya CAF umekodishwa hili ni kosa la kwanza ila lingine chi ipo vitani wewe unataka timu ifanye Mazoezi Uwanja Nyasi Bandia ndio isafiri Dodoma kacheza Nyasi za Kawaida kuna akili hapo au mbinu zenu tu.
Popat Umedhalilisha Waajiri wako, Timu yako na Wamiliki wa Uwanja kwa nchi na CAF kwa huu ujinga uliofanya kisa tu wewe ufurahi kwa Timu ya mapenzi yako Yanga ambayo unaishabikia toka ukiwa Unakaa na kusoma Kariakoo. UMESHINDWA
Timu imeanzishwa 1936 mpaka leo haina uwanje wake, ni uMBUMBUMBUKitendo Ulichofanya Popat CEO wa Azam sio cha
Kizalendo kabisa unawezaje kulazimisha Timu yako ya Azam ifanye Mazoezi Asubuhi Chamazi Stadium siku ya leo ya mechi ya CAF mbona siku nyingine hujafanya hivi au kisa leo inacheza timu usioipenda
Moyoni mwako?
Uwanja upo Chini ya CAF umekodishwa hili ni kosa la kwanza ila lingine chi ipo vitani wewe unataka timu ifanye Mazoezi Uwanja Nyasi Bandia ndio isafiri Dodoma kacheza Nyasi za Kawaida kuna akili hapo au mbinu zenu tu.
Popat Umedhalilisha Waajiri wako, Timu yako na Wamiliki wa Uwanja kwa nchi na CAF kwa huu ujinga uliofanya kisa tu wewe ufurahi kwa Timu ya mapenzi yako Yanga ambayo unaishabikia toka ukiwa Unakaa na kusoma Kariakoo. UMESHINDWA
kwani si mjenge uwanja wenu yanini kunyanyasika wakati team ya simba ni kubwa..Kitendo Ulichofanya Popat CEO wa Azam sio cha Kizalendo kabisa unawezaje kulazimisha Timu yako ya Azam ifanye Mazoezi Asubuhi Chamazi Stadium siku ya leo ya mechi ya CAF mbona siku nyingine hujafanya hivi au kisa leo inacheza timu usioipendaMoyoni mwako?
Uwanja upo Chini ya CAF umekodishwa hili ni kosa la kwanza ila lingine nchi ipo vitani wewe unataka timu ifanye Mazoezi Uwanja Nyasi Bandia ndio isafiri Dodoma ikacheze Nyasi za Kawaida kuna akili hapo au mbinu zenu tu.
Popat Umedhalilisha Waajiri wako, Timu yako na Wamiliki wa Uwanja kwa nchi na CAF kwa huu ujinga uliofanya kisa tu wewe ufurahi kwa Timu ya mapenzi yako Yanga ambayo unaishabikia toka ukiwa Unakaa na kusoma Kariakoo. UMESHINDWA
Kama ni kweli basi hili ni tatizo na Simba inabidi tuondokane na huu unyonge tunaweza kufanya kitu.Kitendo Ulichofanya Popat CEO wa Azam sio cha Kizalendo kabisa unawezaje kulazimisha Timu yako ya Azam ifanye Mazoezi Asubuhi Chamazi Stadium siku ya leo ya mechi ya CAF mbona siku nyingine hujafanya hivi au kisa leo inacheza timu usioipendaMoyoni mwako?
Uwanja upo Chini ya CAF umekodishwa hili ni kosa la kwanza ila lingine nchi ipo vitani wewe unataka timu ifanye Mazoezi Uwanja Nyasi Bandia ndio isafiri Dodoma ikacheze Nyasi za Kawaida kuna akili hapo au mbinu zenu tu.
Popat Umedhalilisha Waajiri wako, Timu yako na Wamiliki wa Uwanja kwa nchi na CAF kwa huu ujinga uliofanya kisa tu wewe ufurahi kwa Timu ya mapenzi yako Yanga ambayo unaishabikia toka ukiwa Unakaa na kusoma Kariakoo. UMESHINDWA
NAKAZIAUkitaka Uhuru jenga chako!!
Mkuu matajiri Simba mnacheza wapi leo kwani?Kama ni kweli basi hili ni tatizo na Simba inabidi tuondokane na huu unyonge tunaweza kufanya kitu.
Hawa mamluki wa utopolo wakipata nafasi huwa wanaonesha chuki wazi wazi kwa sababu wengi wana roho za kimaskini na kichawi