GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,884
- 109,600
Alikutapeli nini? Kama utapeli ni njia mojawapo ya kufikia mafanikio aliyonayo Mo bora nawe uwe tapeli ili utajirike.Kila siku nasema humu ..Mo tapeli...
Kasharusha kijimbe anasemakwa jinsi Mo alivyokuwa na mihemko atatoka na kurusha kijembe mtandaoni...
Una maanisha huyu Hui Hui?Wanawake ndivyo walivyo, huoni huyu wa kwetu alichotufanyia au hujamjua ninayemwongelea
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!Uzuri Mtani ulikua unawaandikia hapa mambo mengi hawakuelewa hadi maneno kubaiolojiana ulilisema hawakukusikia walihisi ni maneno ya kijiweni haya wakenya wanasema mambo imechemka, ulipotaja virusi wa timu yenu walijikausha yako wapi sasa
HahahahaSikuwahi kuwaza kwamba ipo siku nitalike uzi wa popoma. Kula like popoma sometimes hata saa mbovu husema ukweli.
Mtoto jinsia gani?..umri?Kwani hamjui kama babra kazalishwa na eng........???