Kitendawili kilichonishinda!

πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Mungu na wanadamu!
 
Unawazungumzia wanawake wa nchi gani mkuu?
Kama wa nchi ya tz,udumia tuh sabb sifa yao kuu mpaka njee ya ni omba omba!
 
Nchi hii ili mwanaume uonekane wa maana eti fanya kazi kwa bidii ili uwahudumie wanawake maskini!

Imagine unadate na Mwanamke hana uwezo wa kujinunulia bando!
Kwa hiyo unajiweka level moja na mwanamke we ni mjinga, mwanamke kiasili ameumbwa kumtegemea mwanaume ndo maana Leo hii eligible man ni wachache sana
 
Ewaaaa kwanza ukimpigia anakwambia subiri anakupigia yeye kuhofia bundle lako litaisha .
 
Pumbavuuuu,hata sisi tuna kazi nazo,aint ya father,pesa zenu mnapelekaga wapi kenge nyie
Basi mtulie nazo mfanyie kazi na muwaache wanaotugea wachukue nafasiπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
SIO mtugande huku mnalalamikia gharama
 
Nchi hii ili mwanaume uonekane wa maana eti fanya kazi kwa bidii ili uwahudumie wanawake masikini!

Imagine unadate na Mwanamke hana uwezo wa kujinunulia bando!

Sasa wewe kwanini u date nae na unajua Hana uwezo huu

Imagine unadate na mdada katoka kumaliza shule yupo tu kwao hana Kaziiii yoyote unategemea atoe wapi vocha

Ukitaka usiombwe vihela kama hivyo tafuta mdada ambae tayari ana kazi yake.. hata hivyo kama hutoi hela yoyote kama ni mimi siwezi kujibu hata sms yako ili unipate lazima uniunge bando uwezi kunichosha kuchat na wewe wakati hujui vocha natoa wapi
 
Kila mbuzi akule kulingana na urefu wa kamba yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…