Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,069
- 34,836
housi gelo
housi gelo
Mumekosa wote wawili hahahahah makofii......umetegua vizuri,makofi jamani.
Sitaki mji wala kijiji nataka jibu Mkuu.Tuambie basi. Nikupe mji? Msata.
Kwa hiyo baba hawezi kuitwa Mzazi? kwa sababu hazai?kwani anayetoa mbegu ya uzazi ni nani?Anaezaa ndo mzazi, kwa hiyo kama baba naye anazaa then naye mzazi unless otherwise..lol
Kwa hiyo baba hawezi kuitwa Mzazi? kwa sababu hazai?kwani anayetoa mbegu ya uzazi ni nani?
Kwa hiyo baba hawezi kuitwa Mzazi? kwa sababu hazai?kwani anayetoa mbegu ya uzazi ni nani?
Kwa hiyo baba hawezi kuitwa Mzazi? kwa sababu hazai?kwani anayetoa mbegu ya uzazi ni nani?