Kwetu-Mbagala
JF-Expert Member
- Jun 26, 2013
- 203
- 39
Mkuu umemaliza kila kitu. Yaani mwanamke alaumiwe kisa mumewe kavaa shati lililojikunja hivi huyu mvaaji yeye hana macho na mikono ya kujinyooshea. Kwanini tusijiulize kwamba huyu mkaka alikua anaishije kabla ya kuoa. Unajua kuna wanaume wabinafsi halafu walalamishi yaani wanapenda kuwaaibisha wake zao utafikiri kuoa walilazimishwa. Kitccheni party kazi yake sio kumfunda mwali bali ilianzishwa kwa makusudi ya kukusanya vyombo manake huko nyuma kwenye hausi watu walikua wanajikuta wanapokea zawadi za aina moja kama vile chupa ya chai n.k . Ng'ombe hanenepi siku ya mnada kama alivyosema PLLyaani mtu mzima na akili zake atoke asubuhi shati limejikunja halafu umshangae mkewe badala ya kumshangaa mwanaume mwenzako?
Usmart ni hulka ya mtu
Kuna mijanaume mingine kuoga tu kwa mbinde sembuse kuvyaa shati lililonyooka
Halafu hao wake zenu wawafunge kamba ili msile magengeni?
Huyo mwanaume hajui wajibu wake kula nyumbani? Au ndo hao nyumbani hawaachi au wanaacha hela ya mchicha wao wanaenda kunywa supu au nyama choma bar
Ndoa zina mengi sana heri ushughulike na yako ya wenzio waachie wenyewe
Mkuu umemaliza kila kitu. Yaani mwanamke alaumiwe kisa mumewe kavaa shati lililojikunja hivi huyu mvaaji yeye hana macho na mikono ya kujinyooshea. Kwanini tusijiulize kwamba huyu mkaka alikua anaishije kabla ya kuoa. Unajua kuna wanaume wabinafsi halafu walalamishi yaani wanapenda kuwaaibisha wake zao utafikiri kuoa walilazimishwa. Kitccheni party kazi yake sio kumfunda mwali bali ilianzishwa kwa makusudi ya kukusanya vyombo manake huko nyuma kwenye hausi watu walikua wanajikuta wanapokea zawadi za aina moja kama vile chupa ya chai n.k . Ng'ombe hanenepi siku ya mnada kama alivyosema PLL
Hahahahahahahaha unajua kuna wengine ni wachafu toka huko. Haingii akilini kijana anaejipenda akavaa shati limejikunja au socks zinazotoa harufu khaaaa. Nafikiri upo umuhimu wa kuanzisha mafundisho kwa wanaume kabla ya kuoa ili wasije kuaibisha nyumba zao. Tena kuna hii nyingine utakuta kijana anakula chakula kinabaki baki pembeni ya midomo mweee yaani hata table mana nayo anatakiwa afunzwe na mkewe hapo itakua kazi kweli kweli.Ahsante sana Ablessed yaani kuna baadhi ya wanaume wanajidekeza kupita kiasi!!!! Nimeshawahi kuona hapa mtu kaanzisha uzi mkewe hakumpelekea ndoo ya maji ya kuoga!!!! Utadhani yeye angeibeba ndoo hiyi mwenyewe mikono ingekatika!!!! Umevaa shati limejikunjakunja kama halijaguswa na pasi kwa miaka chungu nzima wa kulaumiwa ni Mke!!!! Dah!!!!!
yaani mtu mzima na akili zake atoke asubuhi shati limejikunja halafu umshangae mkewe badala ya kumshangaa mwanaume mwenzako?
Usmart ni hulka ya mtu
Kuna mijanaume mingine kuoga tu kwa mbinde sembuse kuvyaa shati lililonyooka
Halafu hao wake zenu wawafunge kamba ili msile magengeni?
Huyo mwanaume hajui wajibu wake kula nyumbani? Au ndo hao nyumbani hawaachi au wanaacha hela ya mchicha wao wanaenda kunywa supu au nyama choma bar
Ndoa zina mengi sana heri ushughulike na yako ya wenzio waachie wenyewe
Hahahahahahahaha unajua kuna wengine ni wachafu toka huko. Haingii akilini kijana anaejipenda akavaa shati limejikunja au socks zinazotoa harufu khaaaa. Nafikiri upo umuhimu wa kuanzisha mafundisho kwa wanaume kabla ya kuoa ili wasije kuaibisha nyumba zao. Tena kuna hii nyingine utakuta kijana anakula chakula kinabaki baki pembeni ya midomo mweee yaani hata table mana nayo anatakiwa afunzwe na mkewe hapo itakua kazi kweli kweli.
Hahahahahahaha kimsingi wanandoa yapasa wasaidiane mmoja anapokua juu basi anyooshe mkono wake ili mwenzake aweze nae kuufikia. Na anaejiona yuko chini nae awe tayari kuupokea mkono wa mwenzake. Tunakutana 2 tusioperfect tunasaidiana kuufikia ukamilifu na mwisho ndoa inaonekana ni mahali pazuri na mti mkubwa wenye kivuli ili waliochoka wapate pumziko.Hahahahaha LOL!!!! Anatafuna utadhani anafukuzwa ๐๐....Ni kweli wengine uchafu ni jadi yao, hivyo wanauendeleza mpaka ndani ya ndoa ikatokea kama mke ni msafi wa kupindukia basi ugomvi ni kila leo. Mbona shati lako linashangaashangaa hapa, mbona soksi zako umezitupa pale mbona viatu vyako vimezagaa hovyo hovyo.
Hahahahahahaha kimsingi wanandoa yapasa wasaidiane mmoja anapokua juu basi anyooshe mkono wake ili mwenzake aweze nae kuufikia. Na anaejiona yuko chini nae awe tayari kuupokea mkono wa mwenzake. Tunakutana 2 tusioperfect tunasaidiana kuufikia ukamilifu na mwisho ndoa inaonekana ni mahali pazuri na mti mkubwa wenye kivuli ili waliochoka wapate pumziko.