Ndugu Nyaubwii,
Kama kweli unataka kufungua Restaurant siyo swala la ku-dsign na FFE, bila inaanzia kwenye Concept ya Restaurant yenyewe, ni ya aina gani, wateja gani; halafu pawe na Schematic proposal, hapa ndipo huyo designer atakuja na Sketches ku-test Concept kabla ya mambo mengine.
Ukitaka ushauri wa kitaalamu kabla ya designing nipigie 0787 330200