D delako JF-Expert Member Joined Oct 6, 2012 Posts 3,039 Reaction score 2,125 Oct 7, 2022 #1 Habari wanajf,Kitanda cha 5 kwa 6 na godoro lake vinauzwa kwa tsh laki 4 tu (400,000/=). Vyote ni vipya kabisa na havijawai kutumia kwani alinunua mdogo wangu na kuviweka kwangu Sasa kuna PESA anaitaji ndio sababu kubwa ya kuviuza. Vinapatikana TABATA KINYEREZI Dar es Salaam maongezi kidogo yapo. Kitanda ni mbao ya Mninga na godoro ni kutoka kampuni ya FURAHA. Karibuni kwa namba 0768 838320
Habari wanajf,Kitanda cha 5 kwa 6 na godoro lake vinauzwa kwa tsh laki 4 tu (400,000/=). Vyote ni vipya kabisa na havijawai kutumia kwani alinunua mdogo wangu na kuviweka kwangu Sasa kuna PESA anaitaji ndio sababu kubwa ya kuviuza. Vinapatikana TABATA KINYEREZI Dar es Salaam maongezi kidogo yapo. Kitanda ni mbao ya Mninga na godoro ni kutoka kampuni ya FURAHA. Karibuni kwa namba 0768 838320
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 33,671 Reaction score 97,432 Oct 7, 2022 #2 Kila lakheri. Bei rafiki kabisa.
K kinje ketile JF-Expert Member Joined Dec 12, 2015 Posts 5,375 Reaction score 10,116 Oct 7, 2022 #3 Picha haziridhishi , piga tena usitumie tecno
D delako JF-Expert Member Joined Oct 6, 2012 Posts 3,039 Reaction score 2,125 Oct 7, 2022 Thread starter #4 Thanks wanajf wote mlioreply. Business closed.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,907 Reaction score 193,922 Oct 7, 2022 #5 Ahsante kwa taarifa...