INAUZWA Kitanda na godoro lake vinauzwa

okyo

JF-Expert Member
Mar 16, 2013
2,003
1,505
Habari wakuu..
Kutokana na hali mbaya ya kiuchumi hapa mjini nimeamua uza kitanda na godoro nirejee kijijini nikajiajiri

Kitanda ni futi 5 kwa 6 pamoja na godoro Dodoma vimetumika miezi sita tu vyote vipo kwenye hali nzuri sana.

Vinapatikana riverside
Kwa anahitaji tuwasiliane kupitia pm
Au kupitia namba hii
0652482782
BEI NI 250000 Tu kwa vyote

Karibuni
 
Nakitaka
 
Updates
Wadau kitanda bado kipo na bei imeshuka mana hali ya uchumi imekuwa ngumu sana
Bei mpya ni 200000/=
 
Pole sana mkuu. Utahamia kijiji gani? Taja na wilaya pengine naweza kukuwezesha ukaenda nacho huko huko make kulala chini napo sio vizuri kunguni, shagembe, utitiri, maumivu ya mbavu vyote vyako!!
 
Pole sana mkuu. Utahamia kijiji gani? Taja na wilaya pengine naweza kukuwezesha ukaenda nacho huko huko make kulala chini napo sio vizuri kunguni, shagembe, utitiri, maumivu ya mbavu vyote vyako!!
Mkuu huko Nina pa kuanzia nataka. Iyo pesa niongezee nkajipange siunajua msimu wa kilimo huu
 
Godoro inch ngap
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…