Kitanda cha chuma double decker kinauzwa

Sawia

Senior Member
Joined
Feb 9, 2013
Posts
129
Reaction score
40
Waungwana nauza kitanda double decker cha chuma chini ni futi 5x6 na juu futi tatu na nusu kwa sita. Ni kizuri na imara nauza pamoja na godoro lake la juu. Bei sh. 350,000/= pungufu tunaweza kuongea. Nipo Magomeni Dar. Nimeshindwa kuattach picha. Yeyote anayehitaji tuwasiliane kwa PM au anipigie simu namba 0715 597591.
 
Mkuu unaweza weka picha hapa nikakiona...i am interested. Baada ya kukiona twaweza ongea zaidi. Pia ningependa kufahamu hali ya hilo godoro
Waungwana nauza kitanda double decker cha chuma chini ni futi 5x6 na juu futi tatu na nusu kwa sita. Ni kizuri na imara nauza pamoja na godoro lake la juu. Bei sh. 350,000/= pungufu tunaweza kuongea. Nipo Magomeni Dar. Nimeshindwa kuattach picha. Yeyote anayehitaji tuwasiliane kwa PM au anipigie simu namba 0715 597591.
 
Akinapassword ??kufunguka kunavingine ukifika hme mpaka ubonyeze kitu ndio mlangoni kinapta...mashallah upatmteja..
 
Back
Top Bottom