Kitanda bei ya kutupa.

Kitanda bei ya kutupa.

Joined
Oct 29, 2012
Posts
86
Reaction score
4
Kitanda cha futi tatu na nusu kinauzwa kwa bei ya sh.30,000 tu.

KASORO ZA KITANDA.
Kimechakaa kidogo na hakina chaga moja.

MAHALI
DSM, TMK, mtaa wa Mashine ya Maji no.5, uliopo karibia na Yombo na Buza.

Mawasiliano 0653422776.
 
Mkuu kwa nin usikitoe bure kwa ndugu au kwa charity societies?
 
peleka keko toroli ,watakubadilishia kwa kingine
 
Back
Top Bottom