ukubwa ni 5×6
kina bed sides zake
kina taa zake
kina hicho cha kutunzia vitu kama nguo n.k
kimetumika miezi michache
unavoona kwenye video ndivo kilivo kila kitu isipokuwa kufutwa vumbi tu
ni kikubwa kweli kweli kinataka kumaliza dirisha urefu wake kwa juu
kwenye video kinaeza onekana kidogo hiv ila live ni balaa
Muitie wasukuma wa JF ndo vitu vyao hivyo 😹
KENZY sio ndio kina mfaa 😂Muitie wasukuma wa JF ndo vitu vyao hivyo 😹
Kweli hiki akikufaiMh! mi mnyamwezi ndugu
Yani kitanda ushatombea tombea sana, alafu unakuja kutaka kutuuzia sisi. Tena kwa bei ambayo nikienda kwa fundi napata kipya.Kitanda kinauzwa
NAUZA bei...ni 250,000..
pamoja na kila kitu (taa zake,bedsides,hicho kibox cha kutunzia vitu )mi nilitengenezakwa 650,000
mahali: gongolamboto
piga simu 0683473391
uje ukague uchukue
View attachment 3420891
View attachment 3420892
View attachment 3420896
Kitanda kinauzwa

asante mkuu...bora umesema weweHum mnajikutaga matajiri wote usikute mnavyolalia vinatia aibu ila sasa kwa kukosoa vya wenzenu... Wekeni vyenu tuone acheni upuuzii kama huwezi kununua na huna hela si upite hivi kuliko kuponda?

Mkuu huku hamna wanunuaji Kuna wachoraji, nenda whatsap business lipia sponsor kulingana na location unayotaka wateja watokee weka bei nzuri utauza chapua
asante mkuu...bora umesema wewe
anayehitaji kwa maongezi zaidi anipigie 0683473391
hapana mkuuMkuu,kwahiyo wewe utakua unalala chini?
Sitii neno nisijevuruga biashara za watu