Mimi nilienda serikali ya mtaa kwaajili ya utambulisho ili niende Nida,jamaa kaniambia nimwachie hela ya maji akawape kamati ya ulinzi na usalama ili nijadiliwe kama nipewe au laah,nikaondoka sikurud tena haiwezekan fedha yang ihudumie watu wasiojielewa.