Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,508
- 13,974
Nenda kwa Magufuli..Mimi Sina hata kitambulisho nitakipataje wadau nimewahi kwenda pale tabata shule kwenye ofisi zao wakadai kwamba zoezi kwa dar es salaam limesitishwa ilikuwa mwaka jana.mpaka Sasa sielewi niende wapi utaratibu wake ukoje
Nafikiri kwa Ilala wamehamia Somewhere GongolaMboto, Nenda pale watakupa taratibu za kufanya na utapata tu, mimi mwaka jana huohuo kuna kijana wangu alipata bila matatizo yoyote yaleMimi Sina hata kitambulisho nitakipataje wadau nimewahi kwenda pale tabata shule kwenye ofisi zao wakadai kwamba zoezi kwa dar es salaam limesitishwa ilikuwa mwaka jana.mpaka Sasa sielewi niende wapi utaratibu wake ukoje
Huku kwetu ni miezi 7 sasa tokea tujiandikishe na kupigwa picha Ila kinachoendelea hakunainachukua miezi mitatu kupata id mpya au iliyopotea, ni maelezo niliyoyapata katika mojawapo ya ofisi za nida.
We chizi achana na mimiNenda kwa Magufuli..
Walishindwa kukupa maelezo mazuri, hili zoezi ni endelevu na kila wilaya wana ofisi zao za kudumu ulizia ukifika utapata hudumaMimi Sina hata kitambulisho nitakipataje wadau nimewahi kwenda pale tabata shule kwenye ofisi zao wakadai kwamba zoezi kwa dar es salaam limesitishwa ilikuwa mwaka jana.mpaka Sasa sielewi niende wapi utaratibu wake ukoje
Aisee hi Tz bhana. Labda picha zenu wanazifanyie make upHuku Arusha tunamaliza mwaka sasa hakuna jipya na tulishajiandikisha na kupigwa picha ila Bado havijatoka
Halafu wako kimyaa Hakuna hata update na vitambulisho vyenyew wanavihitaj huko makazinAisee hi Tz bhana. Labda picha zenu wanazifanyie make up
Mwaka mzima , hapa NIDA wamechemka
Hawa jamaa walinikera nikaamua kabisa kutofuatilia huo upuuzi wao .Halafu wako kimyaa Hakuna hata update na vitambulisho vyenyew wanavihitaj huko makazin
Nenda kwenye ofisi zao za wikaya ya Ilala Gongo la Mboto utashughulikiwaMimi Sina hata kitambulisho nitakipataje wadau nimewahi kwenda pale tabata shule kwenye ofisi zao wakadai kwamba zoezi kwa dar es salaam limesitishwa ilikuwa mwaka jana.mpaka Sasa sielewi niende wapi utaratibu wake ukoje
Huko huko mkoani nenda kwenye ofisi ya wilaya ya Nida utapata maelezoHeshima kwenu wakuu!
Nimepoteza kitambulisho cha taifa,na nimesharipoti polisi,ofisi ya NIDA hapa mkoani,na nimeshaenda benki kulipia 20k kwa ajili ya kupata kitambulisho kipya.
Swali Je ninawezaje kukipata kwa haraka,niende makao makuu ya NIDA? Kama ndio makao makuu yao yapo wapi kwa Dar?
Asanteni.
Fuatilia unakuta vitambulisho vipo ofisini na watu hawaendi kuchukuaHuku kwetu ni miezi 7 sasa tokea tujiandikishe na kupigwa picha Ila kinachoendelea hakuna
Fuatilia vitambulisho vipo. Ni muhimu kuwa nachoHuku Arusha tunamaliza mwaka sasa hakuna jipya na tulishajiandikisha na kupigwa picha ila Bado havijatoka
Viko wap mkuu maana tuliambiwa vikitoka tutajulishwa kwakuwa tuliacha Namba zetuFuatilia vitambulisho vipo. Ni muhimu kuwa nacho
Hopeless kabisa napatwa nahasira nikikumbuka usumbufu wao walivokuwa wanaandikisha nikapanga lifolen lirefu jua Kali af kumbe ndo mambo Kama hayaHawa jamaa walinikera nikaamua kabisa kutofuatilia huo upuuzi wao .
Bora nina Cha mpiga kura na leseni. Tosha kwa sasa..
Hawa jamaa ni hopeles
Nenda kwenye ofisi zao wilayani kwako, utapewa. Waambie kuwa ulishajiandikisha na kupigwa pichaViko wap mkuu maana tuliambiwa vikitoka tutajulishwa kwakuwa tuliacha Namba zetu