Kitambulisho cha kupigia Kura

Kitambulisho cha kupigia Kura

Joined
Nov 21, 2018
Posts
29
Reaction score
26
Ndugu viongozi wa serikali.

Jaribuni kupunguza mafoleni haya yanayojitokeza kwa kujiandikisha katika vitambulisho vya kupigia kura kama Mtu anakitambulisho cha utaifa ni vyema kama amepoteza kitambulisho cha kupigia kura akajaza taarifa zake online kwa maana picha na detail zote zipo ila kuwepo na mahali ambapo anataka kitambulisho chake apokelee.

kwanza kunaweza kikatumwa kwa njia ya posta kwa wale wenye nazo pia kitumwe kwa ofisi ya mtaa wake then kwa wajumbe wa nyumba kumi vitatufikia vizuri.

Kwa maana hiyo tutakuwa tumepunguza foleni sana na kuokoa Muda wa wananchi.
 
Ndugu viongozi wa serikali. Jaribuni kupunguza mafoleni haya yanayojitokeza kwa kujiandikisha katika vitambulisho vya kupigia kura kama Mtu anakitambulisho cha utaifa ni vyema kama amepoteza kitambulisho cha kupigia kura akajaza taarifa zake online kwa maana picha na detail zote zipo ila kuwepo na mahali ambapo anataka kitambulisho chake apokelee. kwanza kunaweza kikatumwa kwa njia ya posta kwa wale wenye nazo pia kitumwe kwa ofisi ya mtaa wake then kwa wajumbe wa nyumba kumi vitatufikia vizuri. Kwa maana hiyo tutakuwa tumepunguza foleni sana na kuokoa Muda wa wananchi.
Hiyo foleni iko wapi bwashee?!
 
Umeongea vyema sana, kuliko mtu kwenda kusubiri kwa kupanga foleni masaa sita.

ᴸᵉᵍᵉⁿᵈᵃʳʸ
 
Ushahidi tafadhali,ukileta picha,eneo husika
Ndugu viongozi wa serikali. Jaribuni kupunguza mafoleni haya yanayojitokeza kwa kujiandikisha katika vitambulisho vya kupigia kura kama Mtu anakitambulisho cha utaifa ni vyema kama amepoteza kitambulisho cha kupigia kura akajaza taarifa zake online kwa maana picha na detail zote zipo ila kuwepo na mahali ambapo anataka kitambulisho chake apokelee. kwanza kunaweza kikatumwa kwa njia ya posta kwa wale wenye nazo pia kitumwe kwa ofisi ya mtaa wake then kwa wajumbe wa nyumba kumi vitatufikia vizuri. Kwa maana hiyo tutakuwa tumepunguza foleni sana na kuokoa Muda wa wananchi.
 
Vijana jiandikisheni kwa wingi kama ajira hakuna basi tuzigawane hizo hizo zao miaka mitano ijayo na sisi tukae ofisi hizo hizo
 
Maisha ya Mtanzania bila foleni hayaendi. Hospital foleni, bank foleni, bombani foleni, hata ukiwa kwenye mahusiano unapangwa foleni.
 
Back
Top Bottom