kitambulisho cha chama kinaweza kutumika benki? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kitambulisho cha chama kinaweza kutumika benki?

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by kanewi, Aug 3, 2012.

 1. k

  kanewi JF-Expert Member

  #1
  Aug 3, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 214
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 45
  naombeni msaada wa kisheria jamani,nipo tanga nimeibiwa begi langu wakati nashuka toka kwenye gari,.mkoba wangu uliokuwa na kila kitu,yaani,kadi ya benki,kadi ya kura,kitambulisho cha kazini,na document zoote zimepotea.,nilicho fanikiwa kupata hapa ni kadi ya chama changu pendwa pinga unyonyaji kwa sababu kujiandikisha hakuna complication,.ni picha na taarifa zingine ambazo nimezitoa pale ofisini,sasa nataka kwenda benki kuchukulia hele CRDB,je nitafanikiwa?maana kadi hile ina picha na mihuli kamili na chama kinambuliwa kwa mujibu wa sheria.CHADEMA.
   
 2. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #2
  Aug 3, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,020
  Likes Received: 23,763
  Trophy Points: 280
  Nenda Mapokezi ukaulize pale.
   
Loading...