Kitambi noma

hata kupiga papuchi inakuwa inakuwa issue
 
Jamaanii Eeee mwenzeno mgonjwa !! msilete kejeli na mzahaa.... Hali si ya kawaida...Mungu amhafifishie na kumponya. amina
 
Pole yake , maana hakikuja siku moja, Kakilea mpaka kukifikisha hapo
 
Ile kazi yetu atakuwa anasaidiwa na majirani au hausi boi wake noumaaaaaa...lol
 
Mh, si baba mwenye nyumba wangu huyo? nan huyo anamwambia afanye mazoezi? au mnataka nikose?
 
Jamaa akipumua mnatafutana maana ni kama breki ya Scania Chhhuuuuuuffffffffffff
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…