Kitambi noma.

Mbona hilo jina ni la klabu ya mazoezi kule Zenji!
 
dahhhh huyu jamaa anatakiwa apige zoezi pamoja na diet ya hatari . baada ya hapo surgery . maana akifanya kimoja au viwili havitasaidia .. Pole yake kwakweli. I don't want to think about his sex life ...........
 
Mhhhh hongera kwa picha yako mkuu englibertm

Hapa MziziMkavu hata akiniambia ninunue dawa za pesa milioni wala sibishi!
bibie King'asti ukifika hatua kama hiyo ujuwe kuwa wwe ni mgonjwa sio unene wa afya huo ni ugonjwa ndani yake ana kilo zaidi ya 200 huyu kwa Dawa zangu itabidi atumie zaidi ya miaka 2 ndio aweze kupunguwa huo uzito wake na unene wake kasheshe kweli lakini ajabu pamoja na huo unene wake anaweza kutembea kwa miguu?
 
Last edited by a moderator:
dahhhh huyu jamaa anatakiwa apige zoezi pamoja na diet ya hatari . baada ya hapo surgery . maana akifanya kimoja au viwili havitasaidia .. Pole yake kwakweli. I don't want to think about his sex life ...........
bibie afrodenzi hapo hana cha Sex Life ndizi yake itakuwa ni ndogo kiasi cha kutokea haja ndogo hana kitu hapo.......
 
Last edited by a moderator:
Duuuuu hapo Dushelele itakuwa kama kidole cha mwisho cha mtoto aliyezaliwa leo.
 
Duh!sijui kama anaweza kukukuluka kitandani!
 
Wabongo bhana, yaan kuona kitambi tu, wanaanza kufikiria anafanyaje mapenzi, mbona hamfikirii anakwendaje kazini? Ngono zimewatala! Kumbe mwenzenu HANA HATA FIKRA HZO! Bongo bhana!
 
Huyo inabidi awe anatembea na kitoroli kupakia hilo tumbo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…