Kitambi kinazuia nini kwenye kufanya tendo la ndoa?

Me nasani hujui shughuli ya masiwa
Waulise wenye vitambi watakupa matumizi ya masiwa kwenye tendo la ndoa🏃🏃🏃🏃
So Bora wowowo lisiwepo lakini masiwa yawepo🚶🚶
Mmmmmh.....
Mie pia napenda sana masiwa.
alafu wewe naona utakua flat screen ila mbele mashaallah....
🤣🤣🤣🤣
 
Tupe sababu. Inaubaya gani kwenye tendo la ndoa?!
.wenye vitambi wengi sio wafanya mazoezi, hence no pumzi. Tako kadhaa yupo hoi.
.hawapo flexible kwa styles tofauti.
.kuna styles wakikaa hawawezi kufikia mzigo to the core
. wanasema the bigger the kitambi, the smaller the dick.
 
Nipo baa moja huku Mbezi Beach kwetu njia ya chini inaitwa BUV, tunamshukuru alierudisha maisha yetu mtaani, Mungu Ambariki

Basi ni kama watu wamefunguliwa kusini, utadhani huko ndani hawajamalizana, watu wanasukuma viuno kama vyotee, sijui NI mazoezi ya jumapili maana tumeambiwa jumapili tupige mziki kama wote, Yaani oya oya kama zote na huko beach ndio kabisaa🏃🏃

Kilichonifurahisha kuna walevi hapa nyuma yangu wanacheza mziki unasema" Okonko nikikupenda utawezana?" Uko na kitambi utawezana

Sasa sijaelewa kitambi kinazuia nini kwenye tendo la ndoa? 🙄
🤣🤣Kikunku na kitambi tutawezana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom