Ndugu ni kwel kwamba kwa sasa itakua vigum kuamin kwa walio wengi. Ukwel utabaki palepale kwamba ccm bado ni chama makn na kinakubalika kwa walio weng hvyo ushnd wa dr. Maguful upo waz zaid ya edo. Siasa ni mabadilko lakn kwa walchokifanya ukawa bado muda wao labda 2050 baada ya ccm kukosa viongoz bora. Ndo waanze kudai kuiondoa ccm madarakani
Sifa unazotoa kwa magufuli ni sahihi kabisa lkn naona kiongozi ulisoma ngumbaru coz naona hakuwa kufanya debate wala group discussion! Tambua magufuli amesimamia nguzo ya ccm chamba ambacho miaka amsini kimeshindwa kuboresha pato la mtu mmoja mmoja pamoja na kuomba misaada hadi Vietnam na raslimali zetu kutumia vbaya. Sasa hukumu yao ni Oktoba 2015. Hakuna cha Maguli wala nn ile system yote ni oil chafu!