Kitakachoikumba Dunia mwaka 2036

Ni mfumo mpya wa hadithi unaolenga kuvutia wasomi na watu wenye uelewa mkubwa manake msomi huwezi kumkuta na hadithi isiyo na conceot za kisomi..

.Ndugu zangu, duniani tutakufa tutaicha ukitaka kujua hilo usifuatilie story za mbeleni, rudi nyuma kwanza fuatilia vitu walivyosema na wanasayansi vitakuwa na havikuwa.
 
Ni lini ulienda huko ukasimuliwa yote hayo,waambie hatutaki wenyewe tunaichimbua asili yetu.
 
fIKRA ZAKO TU
 
Uwongo mtupu huu walahi
Sawa na kwenda mwezini sayari na vitu vingine vingi tu walahi
Mdhungu ni mwongo kweli kweli walahi
 
Hakuna kitu cha namna hiyo waache kutuzingua ....
 
Write your reply...Bora hilo jiwe liipige dunia sasa hivi ili tujue moja ...kuliko kusubiri mpaka huo mwaka 2036
 
Niliwahi kusoma habari za Blue Beam Project humu ndani,ukisoma na hii habari kuna kama mahusiano fulani hivi..!
 
Dunia ipo mamilioni na mamilioni ya miaka haijawahi kulindwa na mwanadamu leo eti igongane na jiwe!!!....aliyeiumba dunia hakuwa mjinga kuweka hayo mawe na dunia yetu alijua kbs jinsi gani yatapishana angani

Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi kuhusu vile vimondo vilivyofanikiwa kupenya na kudondokea duniani, vilikosa njia ya kupitia mbali?
Kama haijatokea haimaanishi haiwezekani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba ufafanuzi Mkuu.Kwanini unasema dunia nzima itaangamia isipokuwa Amerika?
 
Dah...jazia na Armageddon ya Bruce Wills..ni ya mwaka 1998...watoto wengi humu walikuwa hawajazaliwa


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…