Kitakachoikumba Dunia mwaka 2036

Lile bulu la Mwakaleli ndio habari ya mujini

Enzi za Lutengano na Mwakaleli ilikuwa shida tupu, sasa uwakute kwenye "gogo" la TAZARA wakiwa wamechanganyika na Iyunga, shule zimefungwa, wanarudi Dar....hapatoshi hapo. Back to the topic, hongera kwa mada nzuri na kwa kujitahidi kuandika kiswahili ambacho wengi tungeshindwa kukiandika. Au ume-copy mahali na kuileta hapa? Tusijekupa sifa za mtu mwingine bure.
 
Kudadadeki kwahiyo likikaribia tuchimbe mahandaki?? usitutishe mbona Mungu hapendi tutishane??
 
Hii movie inaitwa amargeddone kama sikosei
 
Wewe ndio liko tatizo kwenye dishi lako.usifikiri tatizo lako ni la watu woote.
 
Dah... Armageddon... Bruce Wills.... Yeye aliamua kufa nalo......
 
Kuna movie niliona infanana na kitu ulichokielezeaaa chieffsss
 
Ikumbukwe kuwa dunia au globe ni duara, so ikiwa hilo limjiwe linashuka kwa dunia, haliwezi kupondaponda dunia yote labda ikiwa litakuwa linabilingika
kwani hata sun tunaambiwa ni kubwa kuliko dunia lkn bado haliangazi dunia yote, sasa iweje hilo jiwe ambalo umesema linaweza kupenya kwenye tundu la gravitational force lenye kipenyo cha km 2.5 litutendee dunia nzima kiivyo hayhe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…