Kitakachoikumba Dunia mwaka 2036

2036 ??? Hamna cha jiwe wala nn .

2036 hizi namba zenyewe watu wa Conspiracy wanadai ni mwaka wa uliochin ya 666.

Anyway ...God Is Great.
 
Sjui una maana gan
 

Naona watoto wameiharibu thread,ingejadiliwa kwa dhumuni jema tungejifunza mengi...


Mzee,tazama filamu ya Temonator II :Judgement Day utaelewa nini kitatokea wakati huo...

Naelewa inawezekana uliwahi kuiangalia filamu hiyo kishabiki au kama filamu tu lakini hukuelewa hasa ujumbe nyuma ya filamu hiyo...

Iangalie tena na tena na zingatia kuelewa kinachosemwa na dhumuni la hiyo filamu utaanza kunielewa taratibu....

Ukishindwa rudi uje uniulize...
 

Hizo ni porojo tu hazina ukweli wowote tangu Mwaka 1979, walisema sayari iitwayo Nibiru Planet X itaigonga dunia kumbe ni maneno ya kuitisha dunia
 
Hivi lile dude walilosemaga mwaka Jana "Nibiru" kuwa lingeigonga Dunia watu tukaanza kuuza mali zetu tukijiandaa na kihama kumbe porojo tu kama zile za mwaka 2000
Nibiru planet x ilichepukia sayari nyingine
 
za kuambiwa changanya na zako,ni hao hao ndo waliosema binadamu alikuwa nyani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…