Kitachompata Iran, kitaweka Historia

Saudia na jeshi lao vikojozi hawana uwezo wa kufanya maajabu kwa Iran forces, sema majeshi mengine ila sio hawa mburura waliopigwa jana na Houthi. Houthi walikuja kwa miguu wakawapiga wanajeshi wa Saudia waliokuwa na armored vehicles zenye machine guns na silaha kibao, tena walikuwa wengi. Yaani jeshi kama hili ni hasara kwa taifa, silaha nyingi za gharama na za kisasa watumiaji vilaza watupu
 
Nadhani walikutwa wamelewa chakali.
 
1569833071018.png

Haya ni Mabaki ya ndege ya Elungata iliyoanguka wakati Operation EAGLE CRAW inafail
 
SAUDI CROWN PRINCE WARNS
THAT WAR WITH IRAN COULD
COLLAPSE WORLD ECONOMY

The Saudi prince claimed that the better
solution would be a diplomatic one
BY REUTERS / SEPTEMBER 30, 2019 03:19 x
1 minute read.

WASHINGTON - Saudi Arabia's crown
prince warned in an interview aired on
Sunday that crude prices could spike to
"unimaginably high numbers" if the world
does not come together to deter Iran, but
said he would prefer a political solution to a
military one.
"If the world does not take a strong and
firm action to deter Iran, we will see further
escalations that will threaten world
interests," Crown Prince Mohammed bin
Salman told the CBS program "60 Minutes."
The crown prince, in an interview
conducted on Tuesday, said he agreed with
U.S. Secretary of State Mike Pompeo that the
Sept. 14 attacks on the kingdom's oil
facilities were an act of war by Iran.
But he said he preferred a peaceful
resolution because that "is much better than
the military one." He added that a war
between Saudi Arabia and Iran would
collapse the global economy. The United
States, European powers and Saudi Arabia
have blamed the attacks on Iran. Tehran has
denied any involvement.
U.S. President Donald Trump should meet
with Iranian President Hassan Rouhani to
craft a new deal on Tehran's nuclear
program and influence across the Middle
East, the crown prince said.
Days before the anniversary of the Oct. 2,
2018, killing of journalist Jamal Khashoggi in
a Saudi consulate in Turkey, the crown
prince said: "Absolutely not," when asked if
he ordered the murder. But he said he took
full responsibility, "since it was committed
by individuals working for the Saudi
government."
Oil prices jumped roughly 12% on the 16th
of September after the attack sliced the
kingdom's production in half and intensified
concerns of retaliatory actions in the Middle
East. Prices initially surged about 20%, with
Brent crude posting its biggest intraday
gain since the 1990-1991 Gulf crisis, before
pulling back as various nations said they
would tap emergency supplies to keep the
world supplied with oil.
U.S. Secretary of State Mike Pompeo ruled
out Yemeni involvement and accused Iran of
leading the attacks.
Saudi Arabia usually ships more than 7
million bpd of oil to global destinations and
has for years served as the market's supplier
of last resort. Saudi Aramco has been
seeking to prepare for a share sale that
would make it the world's largest listed
company.
 
Israel italindwa kwa gharama yoyote ile. Israel ni taifa dogo kwa eneo lenye uhasama mkubwa wenye mtazamo wa kiimani likiwa limezungukwa na mataifa makubwa kwa eneo,ilikuwa ni kazi ndogo tu kuifuta katika ramani ya dunia endapo haya mataifa yanayo izunguka yangeongea lugha moja. Namna pekee ya kuweza kuilinda Israel ni kuhakikisha maadui wanao mzunguka hawakai meza moja kwa gharama yoyote. Mnaodhani Iran atashinda vita ni sahihi ataipiga Saudi Arabia ambayo tayari imekwisha fanya biashara silaha za ulinzi USA kaisha weka zake mfukoni. Baada ya Iran kushinda vita atakuwa taabani bin hoi kiuchumi na kijeshi halafu ataokotwa kama kuku mwenye mdondo.

Mabomu yameanza kuipiga Saudi Arabia huku ikishutumiwa Iran ambayo inakanusha hii ni ishara kwamba endapo Iran akapata msaada toka kwa mataifa kama Qatar,Afghanistan na mengineyo yenye chuki na Marekani basi lile jiwe jeusi alqaaba linalozungukwa wakati wa hija litafumuliwa mabomu na itatangazwa yametoka Iran na hapo ndio utaaminishwa vizuri kwamba Iran na Saudi Arabia wanavita vya kiuchumi na kupoteza muelekeo wote mashariki ya kati na ulimwengu kwa ujumla. Hili ni jambo la muda tu tusibiri tutaona.

MAGUFULI4LIFE.
 
SAUDI CROWN PRINCE WARNS
THAT WAR WITH IRAN COULD
COLLAPSE WORLD ECONOMY

The Saudi prince claimed that the better
solution would be a diplomatic one
BY REUTERS / SEPTEMBER 30, 2019 03:19 x
1 minute read.

WASHINGTON - Saudi Arabia's crown
prince warned in an interview aired on
Sunday that crude prices could spike to
"unimaginably high numbers" if the world
does not come together to deter Iran, but
said he would prefer a political solution to a
military one.
"If the world does not take a strong and
firm action to deter Iran, we will see further
escalations that will threaten world
interests," Crown Prince Mohammed bin
Salman told the CBS program "60 Minutes."
The crown prince, in an interview
conducted on Tuesday, said he agreed with
U.S. Secretary of State Mike Pompeo that the
Sept. 14 attacks on the kingdom's oil
facilities were an act of war by Iran.
But he said he preferred a peaceful
resolution because that "is much better than
the military one." He added that a war
between Saudi Arabia and Iran would
collapse the global economy. The United
States, European powers and Saudi Arabia
have blamed the attacks on Iran. Tehran has
denied any involvement.
U.S. President Donald Trump should meet
with Iranian President Hassan Rouhani to
craft a new deal on Tehran's nuclear
program and influence across the Middle
East, the crown prince said.
Days before the anniversary of the Oct. 2,
2018, killing of journalist Jamal Khashoggi in
a Saudi consulate in Turkey, the crown
prince said: "Absolutely not," when asked if
he ordered the murder. But he said he took
full responsibility, "since it was committed
by individuals working for the Saudi
government."
Oil prices jumped roughly 12% on the 16th
of September after the attack sliced the
kingdom's production in half and intensified
concerns of retaliatory actions in the Middle
East. Prices initially surged about 20%, with
Brent crude posting its biggest intraday
gain since the 1990-1991 Gulf crisis, before
pulling back as various nations said they
would tap emergency supplies to keep the
world supplied with oil.
U.S. Secretary of State Mike Pompeo ruled
out Yemeni involvement and accused Iran of
leading the attacks.
Saudi Arabia usually ships more than 7
million bpd of oil to global destinations and
has for years served as the market's supplier
of last resort. Saudi Aramco has been
seeking to prepare for a share sale that
would make it the world's largest listed
company.
Kwahiyo wameanza kujielewa
 
Saudia na jeshi lao vikojozi hawana uwezo wa kufanya maajabu kwa Iran forces, sema majeshi mengine ila sio hawa mburura waliopigwa jana na Houthi. Houthi walikuja kwa miguu wakawapiga wanajeshi wa Saudia waliokuwa na armored vehicles zenye machine guns na silaha kibao, tena walikuwa wengi. Yaani jeshi kama hili ni hasara kwa taifa, silaha nyingi za gharama na za kisasa watumiaji vilaza watupu
 
@Bajetiyakunguru,ni kweli kuna watu wa imani kali huko marekani wanadhani kuwa kuilinda israel ni jukumu lao kubwa kiimani,
lakini israel haijawahi kusimama yenyewe tangu enzi za egypt empire,asyrian,babeli,persia,alexandra the great,etc
vita vya iran na saudi vitapelekea uchumi wa dunia kuyumba kwahiyo madhara ni kwa wote sio saudi na iran pekee,
hiyo ndo inaifanya saudi na marekani kusita kuishambulia iran,
marekani imebidi wahamishe central comand toka Qatar kuirudisha marekani kwa kuhofia inaweza kupigwa makombora na hivyo kukatika kwa mawasiliano kati ya comand na vikosi vyake mashariki ya kati
 
Duh,atari sana
 
Mkuu vita iko palepale hayo ni maneno tu ya kupunguza tension kwa ulimwengu ili isije ikawa ya dunia. Ndio sababu unasikia mara kuna uchunguzi wa kumuondoa madarakani DT. Hiyo yote ni kutulegeza fikra zetu zisitilie manani suala la kushambuliwa Iran.
 
Back
Top Bottom