Kitabu: Wimbo wa darasa na Diamond platnumz ambao haujasikiwa na wengi

MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
20,897
63,783
Kuna huu wimbo unaitwa KITABU aliimba DARASA na kumshirikisha Diamond Platnumz.
Mimi mara ya kwanza kuusikiliza ilikuwa mwaka 2011 au 2012 kama sikosei. Sasa juzi nipitia vitu vyangu vya zamani nikaukuta nikasema ngoja niuweke wadau wausikilize.


Humu ndani darasa kachan vizuri sana: Ujumbe umesimama, Diamond katoa Vocal Suport ya kutosha *Nyuma ya biti anatoa sauti fulani ya kulalamika) na hata biti yenyewe ni nzuri sana,.

CC: Wick , chige , Davet
 

Attachments

  • MAnecK_ft_Darassa_n_DiaMond_-_Kitabu.mp3
    3.7 MB · Views: 205
Darasa anajua saaana.. Basi tu ndo vijana hawana self discipline.. Ila tungekuwa nayo au malezi yetu yangekuwa yanatuelekeza huko... Darasa angekuwa mbali..
 
Back
Top Bottom