Kitabu uchawi wa Mchungaji Stephano na sitoisahau Gamboshi

vipo search kwa google kuna account imefunguliwa facebook ina hicho kitabu cha uchawi wa mchungaji Stephano mwanzo mwisho walikituma kwa vipande vipande.
 
Uchawi wa mchungaji stephano nilikisoma nipo primary enzi ya gazeti la kiu ya jibu nakumbuka alisema alijibadilisha akawa kichanga kilichotupwa sokoni watu wa kakiokota waliomuokota wakaanza kupata shida usiku alikuwa anajibadilisha anakuwa panya

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah nakumbuka pia alisema kwenye dalala ukiona umesahau kituo, oh mara ukipanda anza na mguu wa kushoto, oh mara kua makini ukiona ujadaiwa nauli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
@Uchawi wa mchungaji Stephano

Anakwambia ukiona mtu anauza kitu flan Kama machinga alafu ukawa unamwita alafu asikii na unaamini anakusikia achana nae huyo kabeba nyama za watu anapeleka zinapotakiwa.

Nyingine sijui mtu unamuona kabeba kioo kikubwa Yan unaanza we mwenyewe kumpisha Mana yeye ndo anakuamuru umpishe upande ipi kwa kuelekeza kidole chake nawewe unapisha haraka ukijua unaogopa utagusa kioo kumbe wao hawaruhusi kugusana na mtu wakiwa wamebeba nyama zao ndo Mana unaona huo Hali.

Nyingine ukiwa njiapanda mara mkaanza kubishana na mwenzio kuwa muende njia hii mwenzio anasema tupite njia Ile ilhali mnaenda sehemu Basi jua Kati yenu Kuna mmoja ameonwa na mtu Alie msukule ambaye anamjua Kati yenu anakuita.

Eti ukipita makaburini ukaona Kama mchanga umekupiga machoni Basi ujue marehemu amekuona na anakuita Ila wewe husikii tuu.

Nilikinunua sh 3,000/= Kama sio 5,000/= hiki kitabu japo nakumbuka sikukimaliza nasijui kiliendaga wap aisee.

Mie n mhanga wa haya mastori aisee.
 
Mkuu ulipata hichi kitabu

Sent using Jamii Forums mobile app



Nilikipata kwa rafiki yangu hiki kitabu, nimekisoma chote kwakweli hyo simulizi Inatisha vibaya, itafute mkuu utaongeza maarifa flani kupambana na mambo ya Giza.

Sent using Jamii Forums mobile app



Unsa softcopy unitumie na mie

Sent using Jamii Forums mobile app



ninavyo hivi vitabu kama vyote tatizo hivi vitabu ukimuazima mtu harudishii na wanakuwa sio watunza ndo shida hapo
20200413_013836.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom