Mohamed Said JF-Expert Member Joined Nov 2, 2008 Posts 23,283 Reaction score 33,880 Jul 27, 2023 #1 KITABU KIPYA: SAL DAVIS AN AUTOBIOGRAPHY Ndugu zangu kitabu cha maisha ya Sal Davis leo kimechapwa na Amazon kama mnavyoona hapo chini. Kitabu kilichukua muda kwani si kazi nyepesi kumkalisha Sal kitako mahali pamoja kwa muda mrefu labda awe kakaa Barzani. Kitabu hiki tulikimaliza Nyali Beach, Mombasa Mwezi wa Ramadhani 2009. Unaweza kwa sasa kukinunua kama Soft Copy ukakisoma. In Shaa Allah sasa Publisher anashughulika na kukitoa kitabu chenyewe yaani Hard Copy mkishike mkononi kama wengi tulivyozoea.
KITABU KIPYA: SAL DAVIS AN AUTOBIOGRAPHY Ndugu zangu kitabu cha maisha ya Sal Davis leo kimechapwa na Amazon kama mnavyoona hapo chini. Kitabu kilichukua muda kwani si kazi nyepesi kumkalisha Sal kitako mahali pamoja kwa muda mrefu labda awe kakaa Barzani. Kitabu hiki tulikimaliza Nyali Beach, Mombasa Mwezi wa Ramadhani 2009. Unaweza kwa sasa kukinunua kama Soft Copy ukakisoma. In Shaa Allah sasa Publisher anashughulika na kukitoa kitabu chenyewe yaani Hard Copy mkishike mkononi kama wengi tulivyozoea.