Mnyampaa
JF-Expert Member
- Jan 17, 2011
- 244
- 58
Wanafunzi na walimu wa GEOGRAPHY (A - level) Jipatieni kitabu kipya cha Practical Geography kilichosheheni topics zote za Practical Geography: Statistics, Research, Chain, Compass, Plain Table Surveying na Levelling; Map Reading na Photograph Interpretation.
Kitabu kimeandaliwa na Mtaalam wa somo la Jiografia kwa kufuata syllabus ya sasa na ni reader friendly kwa wanafunzi na mwongozo mzuri kwa mwalimu.
Kinaweza kutumika kwa O-level na vyuo vya ualimu pia. Kinapatikana duka la MAK BOOKS & BRAINS Mlimani City, Dar es Salaam na ukihitaji popote ulipo utaletewa wasiliana kwa namba 0688431391/ 0764872055.
Tujumuike kuboresha kiwango cha elimu nchini.