Coza Mhando
Senior Member
- Dec 14, 2010
- 194
- 7
Habari wana JF,
Kuna hiki kitabu chenye title hii "kanisa katoliki na hatma ya uongozi Tanzania", yeyote aliye na taarifa nacho naomba anijuze vp naweza kukipata.
Ni muhimu sana.
Humu ni book shop!!!
Nenda pale Msimbazi Bookshop,jengo la pili toka Kanisa Katoliki Msimbazi,au Cathedral Book Shop pale jengo zamani Forodhani Secondary school
huo mchezo wenu mlishaanza kitambo tu,
welevu tukajifanya kama hatuwaoni.
Ngoja umma wa watanzania uyashuhudie madudu yenu!,
ushazoea kufikiri kwa makalio ndo maana unajishtukia,,
Tuwekee nasi tujue .
Kwani kina nini hicho kibuku?
Hicho Kitabu kimetungwa na Shee Yahya? Au Imam wa Msikiti wa Kwa-Mtoro?
Kwanini watu badala ya kutumia ubongo kufikiria wanatumia makalio? strange!
Hicho Kitabu kimetungwa na Shee Yahya? Au Imam wa Msikiti wa Kwa-Mtoro?
Kwanini watu badala ya kutumia ubongo kufikiria wanatumia makalio? strange!
Wakuu wooote relax with the insults. Hivi kweli ban ziki tembea mtasema mods wanaonea? Endeleeni na mada kwa staha.
Wakuu wooote relax with the insults. Hivi kweli ban ziki tembea mtasema mods wanaonea? Endeleeni na mada kwa staha.