Mi nshatafuta mtu wa kunifundisha vitu live sio vitabu ila sipati nakutana na wauza vitabu tu, mara watuma video za whatsapp sasa hayo si hata you tube yapoJifunze kwa kitabu hicho utaona utofauti na kujiongezea kipato chako
Yaaan umeniwahi kusema hivoMi nshatafuta mtu wa kunifundisha vitu live sio vitabu ila sipati nakutana na wauza vitabu tu, mara watuma video za whatsapp sasa hayo si hata you tube yapo
Sana Mkuu kila jumamosi wapi Njombe, Simiyu Au IlalaSasa live yapatikana bila shaka hufanyika kila Jumamosi
Nahitaji vyakula tu lakini mahanjumat vitu vya kubake bake, ngano ngano na nyama za kusaga sio ugali, unafundisha?Ukitaka live sasa Unapata unafundishwa live kabisa Uko wap