Kitabu cha ujasiriamali chauzwa

Kitabu cha ujasiriamali chauzwa

Mr kyoma

Member
Joined
May 30, 2016
Posts
20
Reaction score
16
Habari ndg jamaa na rafiki kitabu kiitwacho fursa 20 za kuanzia hapo ulipo. Kinaizwa kwa shilingi elfu tano tu na Kina masomo 20 muhimu Ambayo waanzia popote ulipo hata chumbani kwako na ukaongeza kipato chako.
Kinapatikana na unatumiwa popote ulipo Mawasiliano yangu Ni 0755778896
Screenshot_20180323-115941.jpg
IMG-20180217-WA0028.jpg
IMG_20180314_144612.JPG
 
Mbona sijakuona kwenye jalida la forbes kama hizo fursa zilimo humo kwenye kitabu zinalipa....
 
Mbona sijakuona kwenye jalida la forbes kama hizo fursa zilimo humo kwenye kitabu zinalipa....
Hizi Ni za uzalishaji wa vitu mbalimbali vitumikavyo na jamii na wengi wamefaidika navyo kwa maana wanajiingizia kipato kingine cha ziada
 
Muuzaji mwenyewe kama mimitu alafu anauza kitqbu chabutajiri shame
Muuzaji Ni mmiliki wa kampuni ya utengenezaji Wa Bidhaa mbalimbali za ngozi mfatilie utamjua tuu
 
Mi nshatafuta mtu wa kunifundisha vitu live sio vitabu ila sipati nakutana na wauza vitabu tu, mara watuma video za whatsapp sasa hayo si hata you tube yapo
Ukitaka live sasa Unapata unafundishwa live kabisa Uko wap
 
Back
Top Bottom