Sidhani kama kuna hicho kitabu...
Sheria za nchi hii ni nyingi sana kiasi kwamba kama zingekuwa ziko compiled kwenye kitabu basi lingekuwa bonge moja la kitabu ambalo kulisoma ingekuchukua muda mrefu sana.
Sheria zimepangwa kwa sura, kuanzia ya kwanza mpaka mia 4 na kadhaa huko, hizi ni zile zilifanyiwa mapitio 2002. Then zipo za kuanzia 2002 hadi leo ambazo ni mamia.
Pia kusoma sheria na kuielewa si kazi rahisi unless uwe na uelewa kidogo wa sheria. Au labda kila sheria itafsiriwe kwa lugha nyepesi itakayomfanya mtu wa kawaida aelewe.