Kitabu cha riwaya ya "Nenda" sasa kipo madukani

Kitabu cha riwaya ya "Nenda" sasa kipo madukani

Joined
Jun 15, 2020
Posts
61
Reaction score
197
Jipatie nakala yako kwa Tsh. 10,000/=
Simu; +255 673 056 571
+255 693 097 151
Baruapepe; tanurulasimulizi@gmail.com

IMG20200623101228.jpg
 
Huko gamba la nyuma kiufupisho kinasemaje? Hadithi inahusu nini?
Maishani mwangu niliamini; unyenyekevu na heshima vinaweza kuwa dira kwa mwanaume nimpendaye.

Niliamini itakuwa kinga ya kudumisha mahusiano, na kufikia hatua nzuri, ile ibarikiwayo kwa utunuku wa cheti. Na uhalalisho toka kwa Mwenyezi Mungu.

Hakika! Pasi na chembe ya shaka. Au imani, nilidiriki kumkabidhi hisia zangu kwa asilimia zote. Kiasi cha kutokuwa msikivu kwa lolote baya nisikialo juu yake.

Sikuwa na budi kujivika utumwa wa upendo. Naweza sema hivyo, kwa ajili ya kutunza yangu siha. Na kuhimarisha uhusiano, huku nikisahau, u-hawara, haupaswi kuwa na majivuno.

Lakini mimi nilijivunia.

Kitendo kilichopelekea kujihalalishia mateso ambayo ni ngumu pasi na kuyaachia historia yenye kumbukumbu.
Nimeamua kushirikiana nawe katika kumbukizi hizi. Ili usipitie makosa ambayo nimepitia. SONGA NAYO UNONOKE...
 
HATIMAYE

Kitabu cha NENDA rasmi sasa kinapatikana maeneo yafuatayo:

DAR ES SALAAM

1. Duka la Kona ya riwaya, Kinondoni Block 41 (0655428085)

2. Mnyamani Shopping Centre, Buguruni (0678683278)

3. Stendi ya Mkoa, Ubungo (0678683278)

MOSHI

1. Rennics Bookshop, Fresh Coach (0767826134)

2. Mnara wa saa, nje ya geti la CRDB (0689314721)

ARUSHA

1. Kwa muuza magezeti, nje ya jengo la Kimahama (0757690302)

Gharama ya kitabu ni Tsh. 10,000/=

Nje ya mikoa iliyoorodheshwa, unaweza kuwasiliana na mwandishi kupatiwa utaratibu 0673056571.
IMG_20200815_112406_064.jpg
 
Back
Top Bottom