Hiyo misamiati inanoga sana.Binafsi nimeshatumia neno nywila mara nyingi badala ya pasiwedi.Hilo la juisi na mengine ndo nayaona leo na nimeshayakariri.La virus hilo, safi sana.Tasnia ya habari - magazeti, redio, tv - ingesaidia sana kueneza misamiati hii
kwa wananchi iwapo:
1.Waandishi wa habari kwenye magazeti, watangazaji wa redio na tv nk wangetumia hii misamiati
Hao ndio mawakala wakuu wa kueneza kiswahili.