Kiswahili ni lugha yetu, sawa, ila waendelezeji urasimishaji wa misamiati yake wazingatie 'thamani ' ya maneno
Mfano, Mubashara = live,
Hilo la kiarabu halina thamani sana ukilinganisha na live, kb zake ni nyingi mno. Gharama ya neno imekuwa kubwa hivyo thamani ya neno ikashuka