J James Ritu Member Joined Sep 12, 2024 Posts 12 Reaction score 4 May 19, 2025 #1 Baadhi ya habari zinazoandikwa humu zinashangaza Sana. Hivi siku hizi kiswahili hakifundishwi mashuleni? Fikili badala ya fikiri, safili badala ya safiri, Dora badala ya Dola, mahali badala ya mahari nk. Kiswahili gani hicho?
Baadhi ya habari zinazoandikwa humu zinashangaza Sana. Hivi siku hizi kiswahili hakifundishwi mashuleni? Fikili badala ya fikiri, safili badala ya safiri, Dora badala ya Dola, mahali badala ya mahari nk. Kiswahili gani hicho?
Jane Lowassa JF-Expert Member Joined May 10, 2016 Posts 5,009 Reaction score 9,206 Jun 8, 2025 #2 Kuna bendi ya jeshi Dodoma wanakiita "MATAJILI WA ZABIBU" . Nilishangaa sana.