Kiswahili cha CryptoCurrency kitatupa shida

Kiswahili cha CryptoCurrency kitatupa shida

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,286
Reaction score
10,831
Kiswahili cha CryptoCurrency kitatupa shida.

Hivi karibuni benki kuu ya Tanzania kupitia website yake imetoa katazo la Cryptocurrency ambazo zimetafsiriwa kama PESA ZA MTANDAO. Taarifa ya BoT kuhusu Cryptocurrency ambayo imetafsiriwa kama fedha za kimtandao kitatupa shida kwenye uelewa.

Ikumbukwe katika aina za pesa kati ya hizo kuna Electronic Money, ambayo kwa kiasi kikubwa inatumia mtandao kama m-pesa, tigo pesa, internet banking nk. Bado sijajua Electronic Money inatafsirikaje kiswahili, lakini naona hii ya Cryptocurrency/digital money ina uwezekano mkubwa wa kuleta mkanganyiko kwenye kiswahili. Kwa kuwa watu wengi hutumia mtandao kutumia pesa kama kwenye forex, internet banking nk

Kwa sababu zifuatazo.


1. Wachumi na watu wa finance na waliosoma kuhusu pesa, evolution of money does not cover the cryptocurrency type of money, na hii ni aina changa (the eminent coin ilianza 2009) ya pesa ambayo imeanzishwa kwa sababu zao binafsi.

Hali hii inafanya hata baadhi ya wachumi na watu wa finance kutojua what actually cryptocurrency means, wanaojua kuhusu hii hela ni watu ambao wanajua kuhusu anonymity kuhusu cyber space.

2. Hizi ni pesa hazijulikani tz japo zilianza kupewa shavu na wakenya na ile OneCoin yao ila haikufanya vizuri kwa kuwa watz tuko nyuma sana kwenye financial markets (ambazo ni halali)

3. Hizi pesa(cryptocurrency) sio foreign currency although zina hold unit of value over some currencies, this kind of money is just universal thing, hii inachangia kutoeleweka kwake incase mtu akiwa hana ufahamu wa kutosha kuhusu Cyber space na uchumi.

Ieleweke ya kuwa, naelewa madhara ya Cryptocurrency kiuchumi na hadi sasa najua nchi chache zilizoruhusu matumizi ya cryptocurrency kama unit of exchange, Russia is among them.

Lakini, marufuku ya fedha hizi inawezekanaje kwa watu wasioielewa na kuijua?

Marufuku inawezekanaje ikiwa wanaoijua are after being anonymous kwenye mitandao na transactions wanazozifanya mtandaoni?

Marufuku ya cryptocurrency itakuwa effective kiasi gani?

Anyways my point imebaki hapa kuwa, hilo neno fedha za mitandao halitaeleweka, kutokana na kukosa maana ya maneno ya kiswahili kwa ajili ya aina nyingine za pesa.

Cyptocurrency kwa ufupi

There is no as huge and profitable market as the black market.

Cryptocurrency ikawa ni best option ya kufanya transactions kwenye black market, kama kuwalipa Organised crime groups, kununua forbidden pornography i.e pedophilia and necrophilia, manunuzi ya drugs ambayo yote yanafanyika kwenye .onion sites/ dark websites/ underground websites.

Obviously swala la kuiharamisha Cryptocurrency ni hatua nzuri kama wanaojihusisha nazo wanafanya hivyo kwa dark web pages

Why BoT bans Cryptocurrency.

Ili uchumi uweze kuwa regulated, unahitaji kuwa centralized, na BoT ni nguzo kuu ya ku-regulate uchumi kupitia monetary policies anazoweza kuzi-implement.

Uwezo wa BoT kuregulate uchumi unatokana na kuwa BoT ndio the monopoly wa ku-issue currencies za hapa Tanzania.

Cryptocurrecy haiwezi kuwa regulated na BoT au bank kuu yoyote ile, Cryptocurrency iko decentralized, kuna watu binafsi wanaiproduce.

Hii ni sababu kuu ya nchi nyingi kuzuia matumizi yake, nawasoma sana hawa wachumi wa marekani, American Institute for Economic Research (AIER).

AIER kama positive economists wanajaribu kutaka pesa iwe decentralized ili uchumi uwe uchumi wa soko kwenye kila nyanja, Market economy, katika hili sikubaliani nao kwa kuwa uhuru usio na mipaka ni utumwa. Yaani kwa Marekani wanaikataa Federal Reserve kuwa monopoly wa currency issuing.


Nirudi kwenye mada, utaona ya kuwa hii Cryptocurrency, sio rafiki kwa serikali ikitokea inakitaka kuregulate uchumi,

Na ku-regulate uchumu ni moja ya kazi ya bank kuu.

And thus this kind of money is banned in many countries

Sababu nyingine ni kuzuia soko jeusi, black market.

This type of money inafanya transaction kwenye soko jeusi kama nilivyoelezea juu pale.

You may never know how big a black market is, kwa hiyo nasema, soko jeusi haliwezi kupotezwa kwa government intervations.

Lakini it is good ili kuwazuia watu wa kawaida kutojikuta wakiingia katika soko jeusi/black market.


 
black market = soko jeusi.... we jamaa ni kilaza haijawahi kutokea.
 
Kuna nyingine inaitwa IMOTA inatoa airdrop inaitwa*OTARA* sio ya kuikosa hiyo ni genuine kabisa.

Attention to ALL IMOTA minners

All of you mining OTARA Token.
Do this Now:

1/- OPEN App go and do this to recieve your $5 BUSD

2/- Click on the "MENU" bar down below the bottom of the App.

3/- Click on the "Apply" code section, input this code: 4rsO7arb to get your '$5 BUSD

referral bonus: 4rsO7arb

Code:

4rsO7arb
Download the Imota app at imota.io and enter my referral code: 4rsO7arb to get up to $5 for free
IMG-20230930-WA0008(1).jpg
 
Back
Top Bottom