BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,769 Reaction score 288,283 Sep 15, 2012 #2 Wanafanya nini hawa?....wameadhibiwa?
mhalisi JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 1,181 Reaction score 322 Sep 15, 2012 #3 baada ya hapo watasikia maumivu ya kichwa. kama ni adhabu, sio nzuri.
M Mzee wa fund JF-Expert Member Joined Oct 24, 2010 Posts 514 Reaction score 90 Sep 15, 2012 #4 Wenzao wamegoma kuadhibu wanafunzi wao wanaendelea?.Shame on them.
BHULULU JF-Expert Member Joined Jun 28, 2012 Posts 4,994 Reaction score 2,044 Sep 15, 2012 #5 Adhabu kwa wanafunzi ni muhimu sana, lakini siyo ya hivi
Ndibalema JF-Expert Member Joined Apr 26, 2008 Posts 10,955 Reaction score 4,662 Sep 15, 2012 #6 Kisutu hakuna udongo mwekundu namana hiyo.
The Pen JF-Expert Member Joined Dec 31, 2010 Posts 755 Reaction score 261 Sep 15, 2012 #7 Ingekuwa enzi zileee, tungesema mwalimu aliyetoa adhabu hiyo inawezekana ametoka JKT hivi karibuni.
Zamaulid JF-Expert Member Joined May 25, 2009 Posts 19,955 Reaction score 16,006 Sep 15, 2012 #8 BAK said: Wanafanya nini hawa?....wameadhibiwa? Click to expand... hapana kiongozi,ni mazoezi ya balance tu!!!!
BAK said: Wanafanya nini hawa?....wameadhibiwa? Click to expand... hapana kiongozi,ni mazoezi ya balance tu!!!!
Ndahani Platinum Member Joined Jun 3, 2008 Posts 18,158 Reaction score 9,167 Sep 15, 2012 #9 Mbona hao kama watoto wa kiume?
Steve Dii JF-Expert Member Joined Jun 25, 2007 Posts 6,402 Reaction score 1,298 Sep 15, 2012 #10 ...chawa wamezidi, namna ya kujikuna nako kunabadilika!
Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 18,549 Reaction score 21,676 Sep 15, 2012 #11 Ndibalema said: Kisutu hakuna udongo mwekundu namana hiyo. Click to expand... :confused2:
Kanyapini JF-Expert Member Joined Jul 25, 2012 Posts 295 Reaction score 81 Sep 16, 2012 #12 Sio kisutu, sio dar. 1 Udongo mwekundu, 2. wanafunzi wamevaa masweta.
snowhite JF-Expert Member Joined Aug 2, 2012 Posts 18,422 Reaction score 25,320 Sep 16, 2012 #13 Kanyapini said: Sio kisutu, sio dar. 1 Udongo mwekundu, 2. wanafunzi wamevaa masweta. Click to expand... 3.kisutu hawavai viatu vyeusi 4.kisutu sketi zao ni za marinda 5.kisutu hawana sare ya masweta
Kanyapini said: Sio kisutu, sio dar. 1 Udongo mwekundu, 2. wanafunzi wamevaa masweta. Click to expand... 3.kisutu hawavai viatu vyeusi 4.kisutu sketi zao ni za marinda 5.kisutu hawana sare ya masweta
Dotworld JF-Expert Member Joined Aug 10, 2011 Posts 4,035 Reaction score 3,783 Sep 16, 2012 #14 BAK said: Wanafanya nini hawa?....wameadhibiwa? Click to expand... . Mkuu BAK hiyo ni aina ya adhabu ambazo zamani walikuwa wanaita .... Tega Mota ... duh! hivi haya mambo bado yapo siku hizi?! ...
BAK said: Wanafanya nini hawa?....wameadhibiwa? Click to expand... . Mkuu BAK hiyo ni aina ya adhabu ambazo zamani walikuwa wanaita .... Tega Mota ... duh! hivi haya mambo bado yapo siku hizi?! ...
C Caesar1 Member Joined Aug 1, 2012 Posts 33 Reaction score 3 Sep 16, 2012 #15 Dotworld said: . Mkuu BAK hiyo ni aina ya adhabu ambazo zamani walikuwa wanaita .... Tega Mota ... duh! hivi haya mambo bado yapo siku hizi?! ... Click to expand... hilo zoezi kijeshi huliita kubeba dunia!
Dotworld said: . Mkuu BAK hiyo ni aina ya adhabu ambazo zamani walikuwa wanaita .... Tega Mota ... duh! hivi haya mambo bado yapo siku hizi?! ... Click to expand... hilo zoezi kijeshi huliita kubeba dunia!
Joeli JF-Expert Member Joined Apr 25, 2011 Posts 4,941 Reaction score 3,414 Sep 16, 2012 #16 hapo kenya
Andrew Nyerere JF-Expert Member Joined Nov 10, 2008 Posts 3,007 Reaction score 2,462 Sep 16, 2012 #17 Mbuzi Mzee said: Click to expand... Adhabu kali sana. Bila shaka wamefanya kosa kubwa sana.
dasenior Senior Member Joined Jul 24, 2012 Posts 138 Reaction score 57 Sep 17, 2012 #18 Hiyo si adhabu ni mateso totally!
prakatatumba JF-Expert Member Joined Oct 17, 2011 Posts 1,328 Reaction score 192 Sep 17, 2012 #19 mazoezi ama adhabu nzuri sana akiwa kitandan hapat shida ya style.
grafani11 JF-Expert Member Joined May 24, 2011 Posts 15,441 Reaction score 5,820 Sep 18, 2012 #20 Mbuzi Mzee said: Click to expand... Hapa mwalimu alikuwa na wazo zuri tu, unajua vijana wengi IQ zao zimehamia maeneo ya kusini hivyo alitaka akili yote iliyohamia maeneo hayo irudi kichwani. Bila shaka huo sio ule wakati walimu walipokuwa wamegoma. Tehetehetehetehetehete.
Mbuzi Mzee said: Click to expand... Hapa mwalimu alikuwa na wazo zuri tu, unajua vijana wengi IQ zao zimehamia maeneo ya kusini hivyo alitaka akili yote iliyohamia maeneo hayo irudi kichwani. Bila shaka huo sio ule wakati walimu walipokuwa wamegoma. Tehetehetehetehetehete.