Kisutu alikataliwa Hakimu!

Hivi Meltdown ya huko CYPRUS haigusi akauntiza wazee wa vijisenti ?
na huko Uswiss MUNGU saidia kinuke pia kama cyprus.

Hata huko Cyprus hakijanuka kwani bunge limekataa kupitisha sheria ya kutoza kodi akiba za watu zilizoko benki!! Kwahiyo vijisenti vya mafisadi vimepona kuyeyuka.
 
Kesi ni nzuri sana, mengi yataibuka. Kuanzia Dr.Ulimboka, Kibanda, Mwigulu, Rama, Nape, Membe wote ni mashahidi upande wa washitakiwa ili waeleze jinsi walivyousika katika utekaji/utekwaji. Defense Attorneys watawapandisha kizimbani na kuwauliza maswali magumu ili waji implicate wenyewe, then wanasheria wa serikali watashindwa la kufanya. Tusubiri na tuone UKWELI
 
Tofauti ya PI na CC ni ni Mzee?
PI ni Preliminary Inquiry na CC ni Criminal Case. PI zote huwa hazina dhamana au dhamana yake kupatikana ni mbinde sana. PI hufanywa na Mahakama ambayo haina mamlaka ya kusikiliza kesi husika. Hufanya tu hatua za awali kama kukusanya ushahidi,mashahidi nk. Hufanyika hasa kwa makosa kama ya kuua kwa kukusudia,uhaini na ugaidi
 

Asante kwa elimu. Ni nani anatoa hizi namba? Na anajuaje kuwa hii ni IP au CC? Ikiwa ni mahakama ina maana kesi ya kwanza ilikuwa tayari imefunguliwa kwa kusikilizwa Kisutu na ndiyo maana hakimu akawaruhusu kujibu!
 
Asante kwa elimu. Ni nani anatoa hizi namba? Na anajuaje kuwa hii ni IP au CC? Ikiwa ni mahakama ina maana kesi ya kwanza ilikuwa tayari imefunguliwa kwa kusikilizwa Kisutu na ndiyo maana hakimu akawaruhusu kujibu!
Nambari za kesi hutolewa na Msajili wa Mahakama anayeisajili kesi husika inapofikishwa Mahakamani na Mkurugenzi wa Mashtaka,yaani,DPP. Kuitwa CC au PI hutegemea na kosa husika kama nilivyojaribu kuelezea mwanzoni. Makosa kama ya ugaidi,uhujumu uchumi,kuua kwa kukusudia na uhaini hupewa PI Numbers. Yaliyobakia ni CC...lakini ni makosa ya jinai tu.
 

Thanks. Tatizo langu nisiloelewa au haliniingii akilini ni kwa nini ya mwanzo ilipewa CC wakati kulikuwa na tuhjuma za ugaidi? Ina maana msajili akuliona hili?
 
Kwamnaotaka kujua ukweli kesi ilifutwa kwa sababu ya makosa aliyofanya hakimu kuwataka watuhumiwa wajibu mashtaka yanayowakabili hali kuwa hana mamlaka hiyo, kwani hawakutakiwa kujibu chochote. Kesi za ugaidi husikilizwa na mahakama kuu. Nafasi waliyopewa kujibu tuhuma tayari iliharibu mwenendo wa mashtaka
 
Kwenye matatizo mengi kuna mkono wa mtu anayeitwa mwanasheria. Na huu wa kesi hii ni ugaidi.
 
Why DPP and not the Registar? Si hati ya mashitaka ilitaja ugaidi? Sasa wanawaingiza siasa bure katika mahakama na kuwachafua mahakimu bure kwa makosa yasiyo Yao!
Shtaka la kwanza lilikuwa si la PI-kula njama.Na hata yale matatu ya kigaidi hayakuwa na sifa za kutosha kuwa PI
 
Shtaka la kwanza lilikuwa si la PI-kula njama.Na hata yale matatu ya kigaidi hayakuwa na sifa za kutosha kuwa PI

Kwa hiyo hata sasa hayana sifa hiyo kwa sababu kwa mujibu wa ripoti tunazozisoma na kusikia kwenye vyombo vya habari mashitaka ni yaleyale?
 
ccm hawana pa kutokea hapa bado hadi kufikia mwaka 2015 watakuwa wanabambikiziana na kuuwana wao kwa wao wakiwania tiketi za kusimama kama wagombea.

mungu bariki chadema, mungu bariki viongozi wapambanaji wa chadema, mungu bariki watanzania wote wenye mapenzi mema na chadema. AMEN

walaaniwe ccm kama mungu alivyo mlaaniwa shetani kutokana na matendo yake maovu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…